Sina ujuzi sana wa haya magari. Ila kusema kweli ni machache Tanzania so tegemea spare kuzipata changamoto ila zipo.
Pia umaweza kuagiza nje ndani ya muda mfupi unaipata.
Always tunashauri mtu anunue gari roho inayopenda. Acha uwoga wa spare, ubovu, wala nn.
Gari ukilieshimu kwa service litadumu sana.