MSAADA: Gari aina ya Mazda RX -8

Farm boy

Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
60
Reaction score
105
Ndugu wana jamvi naomba msaada kwa mtu mwenye experience na hio gari hapo juu atupe mrejesho. Nimeona ina cc 1300 na pia ina muonekano mzuri sana kwa vijana wa mjini. Sasa sijui uimara wake na ulaji wake wa mafuta kwasababu sijui mtu yoyote ambae amewahi kuitumia.
 
Muonekano wake ni kama hii hapa
 

Attachments

  • FB_IMG_1515680109503.jpg
    54.3 KB · Views: 145
Rotary engine, injini ya ndege, technolojia mpya plus shape ya sports hii gari ni kale sana
 
Nilishawahi kuzungumzia experience yangu humu jf khs hii gari.Ngoja nii re-post tena.

Asee nilinunua Mazda rx 8 ya 2005, ilikua inatumia rotary engine, manual, ni cc 1300 only lkn inatoa zaid ya horse power 200 na zaid.

Tatizo kubwa la rotary engine ni "FLOODING" hapo ndo kwenye shida Sana. So kwenye rotary engine haitakiwi gari asubuh kuiwasha na kuondoka hapohapo unaiacha kwanza inachemka then ndo unaondoka na ukija kuipaki usiizime pia hapohapo. Na ili idumu atleast kila siku lazima uhakikashe gari inakimbizwa mpk mshale ufike kwenye redline, kwangu ilikua ni rpm 9000 ukifanya hivyo inadumu.

Lkn since pia Rotary engine haitumii piston inakula engine oil saana saaana lkn ni engine yake ina nguvu Sana.

Kwa wale wanaodhani eti ukubwa wa engine unachangia ulaji wa mafuta mnajidanganya hii Mazda rx 8 ilikua ni cc 1300 lkn lita 1 km8 highway na lita 1 km 6 kwenye foleni sababu ni sports car.

Imagine cc 1300 lkn subaru forester, alteza sijui vi sport car zilikua hazikatizi mbele ya gari yangu.

Ooh I will miss my Mazda
 
Asante sana mkuu kwa kunifungua macho, ntarudi kwenye plan za IST maana kwangu fuel consumption ni factor ya muhimu sana.
 
Asante sana mkuu kwa kunifungua macho, ntarudi kwenye plan za IST maana kwangu fuel consumption ni factor ya muhimu sana.
Kule kwenye mazda ni hatari mkuu.

Mi niliinunua sababu nilikua nataka gari ya sport kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…