LilizimaKabla Tatizo halijatokea, ulizima au lilizima?
Timing belt iangaliwe, inawezekana imekatikaLilizima
Angalia tracking deviceNi kia carens
Je vipi kuhusu timing belt au chain...haijakatika kweli na kupelekea piston kugonga valve na kuzipindisha????Nawashukuru wote mliotoa changia mawazo,
Mrejesho baada ya kuona mtaalamu wa kufanya diagnosisi na kifaa (kompyuta) kushindwa kupata jibu tukaamua kufungua cylinderhead tutakuta valve zote za inlet zimepinda hicho ndicho kimebainika
Hajakatika viko vizuri tuJe vipi kuhusu timing belt au chain...haijakatika kweli na kupelekea piston kugonga valve na kuzipindisha????