MSAADA:gari inazima ukiingiza gia

MSAADA:gari inazima ukiingiza gia

Ukiweka gear dizaini kama inashtuka hivi eeh?
Kuna uwezekano kuwa gear ya free haifanyi kazi... Yani kunaweza kuwa na shida kwenye converter au gear box nzima kwa ujumla.
 
Sawa...magari ya siku hizi hayataki spana sana....kipimo kwanza unaweza kukuta ni kajitu tu ka kuchomoa na kuchomeka..kwisha
Kabisa mm nilisumbuka gari ilikuwa haina nguvu nikabadilisha na pampu wapi kwenda kupima tatizo air sensor nikabadili tatito kwaheri
 
Back
Top Bottom