Inawezekana fuel systemHabari wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyo sema ,Gari yangu aina ya voltz inazima nikiweka kwenye D au R shida inaweza kuwa nini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa...magari ya siku hizi hayataki spana sana....kipimo kwanza unaweza kukuta ni kajitu tu ka kuchomoa na kuchomeka..kwishaMrejesho:Tatizo lilikua sensor ya vvti ( vvti sensor)
Kabisa mm nilisumbuka gari ilikuwa haina nguvu nikabadilisha na pampu wapi kwenda kupima tatizo air sensor nikabadili tatito kwaheriSawa...magari ya siku hizi hayataki spana sana....kipimo kwanza unaweza kukuta ni kajitu tu ka kuchomoa na kuchomeka..kwisha