Thinkgreen
New Member
- Oct 17, 2021
- 1
- 2
in terms of elctrical & mechanical problems as well as fuel efficiency
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama kuna kaukweli [emoji28]Kwa hivo vigezo hamna hapo. Kimbia kabisa.
We nenda Yota. Hizo gari ni kwa wale tulioshindwa kupunguza unene kwa diet ya chakula.
BM iliwahi nikondesha kilo 5 ndani ya week chache sana. Likianza tatizo moja, jingine na jingine linazaliwa.
View attachment 1977741
Poleni na maumivu ya tozo.
Nahitaji kununua gari kwa ajili ya matumizi ya familia, naombeni msaada kwa anaye fahamu ulinganifu wa ubora (in terms of elctrical & mechanical problems as well as fuel efficiency) kati ya aina hizi tatu za magari...
Kwa hivo vigezo hamna hapo. Kimbia kabisa.
We nenda Yota. Hizo gari ni kwa wale tulioshindwa kupunguza unene kwa diet ya chakula...
BMW E90 hiyo 320i. Kwa kucheki izo taa ni 2005-2008 model (kabla ya facelift ya 2009).Mkuu nipe mbili tatu kwenye hii...View attachment 2060638
Asante mkuu hii ya 2006BMW E90 hiyo 320i. Kwa kucheki izo taa ni 2005-2008 model (kabla ya facelift ya 2009).
Hiyo 320i inatumia engine ya 4 cylinders, N46 na ina cc 2000 hivi, na 150hp...
Kama bado haujachukua, tafuta 6 cylinders. Mfano 323i au 325i hivi.Asante mkuu hii ya 2006
Ndo hii mbonaMkuu nipe mbili tatu kwenye hii...View attachment 2060638
Yes ndo hiyo mkuuNdo hii mbonaView attachment 2060945
Asanteee mkuuuKama bado haujachukua, tafuta 6 cylinders. Mfano 323i au 325i hivi.
Hivi kwa nini wengi magari yenye 6 cylinders wanayaogopa?Kama bado haujachukua, tafuta 6 cylinders. Mfano 323i au 325i hivi.
Wanasema wese. Lakini unanunua gari la millions hafu unawaza wese?Hivi kwa nini wengi magari yenye 6 cylinders wanayaogopa?
πππππππWanasema wese. Lakini unanunua gari la millions hafu unawaza wese?