mwendapole12
Member
- Apr 2, 2022
- 21
- 26
Sure. Sana sana anzia Battery.Cheki starter
Ama betri
Check engine haikuwaka? Hapo ilitokea short circuit baada ya wewe kuwasha, kutokana na nyaya zilizochubuka kugusana, au loose connectors iliyopelekea kuungua kwa motor windingsawa ila batterry ni mpya basi kabisa ila yawezekana battery yaweza kuwa na uwezo mdogo licha ya kuonesha ishara zote kwenye dash board.