Msaada: Gari yangu aina ya Nissan Dualis imeshindwa kuwaka

kumaro

Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
33
Reaction score
2
Kigari changu Nissan Dualis kimeshindwa kuwaka sijui tatizo ni nini. Kwenye dashboard ukiiwasha inaonyesha "PS". Mwenye uelewa naomba msaada tafadhali.
 
The red power steering light simply appears as the letters PS. As you might expect, when this light turns on, it indicates a problem with your power steering system.
 
Umejaribu hata kukimwagia petrol ukawasha na kiberiti kikagoma kuwaka? Kimeloana sana au basi nawe una mbwembwe.. gari utake kuiwasha ishindikane?sekunde tu. Washa njiti ingiza kwenye tank ya mafuta au kimwagie petrol kwenye seat then washa kiberiti.

Kigari changu Nissan Dualis kimeshindwa kuwaka sijui tatizo ni nini. Kwenye dashboard ukiiwasha inaonyesha "PS". Mwenye uelewa naomba msaada tafadhali.
 
Umejaribu hata kukimwagia petrol ukawasha na kiberiti kikagoma kuwaka? Kimeloana sana au basi nawe una mbwembwe.. gari utake kuiwasha ishindikane?sekunde tu. Washa njiti ingiza kwenye tank ya mafuta au kimwagie petrol kwenye seat then washa kiberiti.
Hahahah,, Chizi Maarifa kweli wewe
 
Kigari changu Nissan Dualis kimeshindwa kuwaka sijui tatizo ni nini. Kwenye dashboard ukiiwasha inaonyesha "PS". Mwenye uelewa naomba msaada tafadhali.
Jaribu kuangalia battery yake vipi inachoma moto? Pengine hata zile battery terminal kama zimelegea inaweza kusababisha gari ishindwe kuwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…