Msaada gari zuri za kwenda Dar - Bukoba

Msaada gari zuri za kwenda Dar - Bukoba

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Msaada wenu wadau gari ya kampuni gani nzuri inayofanya safar zake Dar - Bukoba na muda gani gari inafika bukoba
 
Last time ilikuwa unafika bukoba saa saba mchana siku ya pili basi frester
 
Kuna abood pia japo wahudumu wana midomo michafu km mitaro ya daslam

Linaondoka kati ya saa 9-11 alasiri na kufika kesho yake mida hiyo hiyo
 
Kuna abood pia japo wahudumu wana midomo michafu km mitaro ya daslam
Hivi gari zao hakuna zenye vyoo ndani wanaita vvip
Mnalala kahama sijajua kwa Sasa kama wanatembea Moja kwa Moja. Mkuu Kagera ni kakipande karefu sana
Kwani kahama gari zinafika saa ngap? Maana Sasa hivi gari sizina tembea masaa24
 
Msaada wenu wadau gari ya kampuni gani nzuri inayofanya safar zake Dar - Bukoba na muda gani gari inafika bukoba
Kama luxury Happy nation nauli 120k,pia abood,civito,frester wako poa,muda wa safari kuanzia masaa 20
 
Msaada wenu wadau gari ya kampuni gani nzuri inayofanya safar zake Dar - Bukoba na muda gani gari inafika bukoba
chukua ndege tu. ATCL wana ndege ya DAR-BKZ kila siku: nauli ni karibu sana na nauli ya basi na uchovu wake.
 
Back
Top Bottom