Msaada Gari

Msaada Gari

edger jairos

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
335
Reaction score
71
Nina gx 100 1g kavu.
Brake zipo mbali karibia na kuisha kbsa au za kupamp.
Pia nikiwa spidi ya 65 na nhasa ninapobana brake , gari inayumba kama alama ya S ivi..
Niliwah nyuma kupiga alignment.
Je ni nn tatzo.Ikiwezekana ghrama..??
Hili la kuyumba njian ndio linanipa tabu sana.ninapokua spidi ya 60 kushuka chini inatulia.
Msaada wa ushaur hasa wa kiufundi plz..
 
Nina gx 100 1g kavu.
Brake zipo mbali karibia na kuisha kbsa au za kupamp.
Pia nikiwa spidi ya 65 na nhasa ninapobana brake , gari inayumba kama alama ya S ivi..
Niliwah nyuma kupiga alignment.
Je ni nn tatzo.Ikiwezekana ghrama..??
Hili la kuyumba njian ndio linanipa tabu sana.ninapokua spidi ya 60 kushuka chini inatulia.
Angalia bush na hub huwa sometimes zinasababisha hyo hali ilishawahi nitokea need kachange katika kimkebe changu mambo yakawa shwar nakamua hadi mia nakuendelea
 
Pia taa ya ABS kwenye dashboard ina waka je haiusiki mkuu...??.ulikuana gar aina gani
 
Angalia uwiano wa tyre mfano zote ziwe 215/16/60, kagua balljoint zote na mwisho fanya wheel alignment.
 
Dad naona ni tofauti.isipokua kwenye size ni 15r.ila nmba zingine zatifautiana zingine 265 '295 195..etc
 
Andika namba nzima nikuelewe mfano 295 haitoshi kwenye gari yako, kawaida ilitakiwa kuwa 205/65/15 kama ni 15r na 2015/60/16 kama ni 16r, jitahidi ulifahamu gari lako vizuri hata ikitokea tatizo unaenda garage huku unafahamu tatizo hawa mafundi wengi hawana akili wala busara utajikuta unahudhuria garage kila wiki.

Ok.ntaandika.
 
Meambiwa leki handi za kubadilisha...ni..kweli??jmni...je...zinasabbsha...gar..kuyumba..
 
Back
Top Bottom