edger jairos
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 335
- 71
Angalia bush na hub huwa sometimes zinasababisha hyo hali ilishawahi nitokea need kachange katika kimkebe changu mambo yakawa shwar nakamua hadi mia nakuendeleaNina gx 100 1g kavu.
Brake zipo mbali karibia na kuisha kbsa au za kupamp.
Pia nikiwa spidi ya 65 na nhasa ninapobana brake , gari inayumba kama alama ya S ivi..
Niliwah nyuma kupiga alignment.
Je ni nn tatzo.Ikiwezekana ghrama..??
Hili la kuyumba njian ndio linanipa tabu sana.ninapokua spidi ya 60 kushuka chini inatulia.
Sawa.na mimi nahisi hivi.master used bei gani.?.Na ABS ikoje..Pia wheel balance haina haja.?Maybe :
1. Master cylinder,
2. ABS
ABS kwa tatizo gani? Brake au kuyumba ikiwa spidi 60... Na kuendelea?Maybe :
1. Master cylinder,
2. ABS
Kuna tatizo sehemu ndio maana inawakaPia taa ya ABS kwenye dashboard ina waka je haiusiki mkuu...??.ulikuana gar aina gani
Nini kinansababisha gari kuyumba kama alama ya S nikiwa speed hasa ya 65?.Kuna tatizo sehemu ndio maana inawaka
Mkuu hapa tunapeana idea tu ili kurahisisha kumuelewesha Fundi, so sasa unapaswa kuonana na fundi! Huwezi pata complete solution hapa!ABS kwa tatizo gani? Brake au kuyumba ikiwa spidi 60... Na kuendelea?
Dad naona ni tofauti.isipokua kwenye size ni 15r.ila nmba zingine zatifautiana zingine 265 '295 195..etcAngalia uwiano wa tyre mfano zote ziwe 215/16/60, kagua balljoint zote na mwisho fanya wheel alignment.
Dad naona ni tofauti.isipokua kwenye size ni 15r.ila nmba zingine zatifautiana zingine 265 '295 195..etc
Ok.ntaandika.Andika namba nzima nikuelewe mfano 295 haitoshi kwenye gari yako, kawaida ilitakiwa kuwa 205/65/15 kama ni 15r na 2015/60/16 kama ni 16r, jitahidi ulifahamu gari lako vizuri hata ikitokea tatizo unaenda garage huku unafahamu tatizo hawa mafundi wengi hawana akili wala busara utajikuta unahudhuria garage kila wiki.
OiOk.ntaandika.