Kaka kwanza unatakiwa ujue Generator inavyojirace ina weza unguza vitu maana inaongeza RPM na volt pia zinapanda
Soo Dont connect it na vifaa vyako until umepata ufumbuzi.
Generator kubwa zina kitu kinaitwa speed gavarner, ila ndogo hazina ila zina icho kidude cha kuongeza Moto na kulunguza.
Ninanchokushauri angalia kama hiyo Knob/ kidude kama kimekaza au kipo lainilaini.
Maana kama kipo laini laini Generator ikiwa inatetemeka inweza kujiongeza. au kama kimekaza na kuna hiyo shida tafuta fundi akuchekie Carbulator maana yenyew ndio inacontrol mtiririko wa mafuta