Msaada: Ghafla uume wangu hausimami

Asante mbona tatzo limenpata ghafra sana
 
Mimi pia ni mwanaume lakini hilo la goli 5 za kuunganisha bila kupumzika huo ni uongo,inaonesha wewe uume wako haujawahi kusimama kabisa tangu ukiwa mtoto
Hahaha dah nilitafakari nikakosa cha kusema kuhusu bao tano nilichokuwa nawaza kukisema nilisita labda Mimi ndo nina matatizo kumbe na nyinyi mmeona
 
Bao tano labda km nipo na lulu au wema Kibongobongo nje niwe na Muigizaji Alex Parrish na jaz au natacha
 
fanya mazoez na ule ndizi na maparachichi sana maana yanaongeza libido (sex drive)
pia uache tabia hatarishi mfano ulevi,kuvuta sigara au bangi,kupiga punyeto na upunguze kua na msongo wa mawazo.
na kama pia anatumia dawa za kuongeza nguvu pia aache
 
Kula matunda Mkuu na ugali wa dona na mboga za majani, , na tafuta magimbi wife ayaunge na Nazi mlo wa week nzima asubui
mimi huo ndio huwa msosi wangu,, na samaki chukuchuku, ,,, utakuwa una hamu ya kugonga kila siku, me hadi imekuwa kero,


usisahau mazoezi kwa sana mkuu
 
Tafuta dushe la jirani likubusti.
Hiyo ndio formula hata gari ikishindwa kuwashwa lazima ifanyiwe busti.
 
Zingatia ushauri uliopewa na raia hapo juu,nisirudie*2
 
Pole sana kwa matatizo, Kuna vitu unatuficha kwa sisi ambao tunaelewa sana kupitia maneno, umetuambia umeoa mwez wa 8 mwaka jana na ulikuwa unapiga bao 5 mfululizo bila kumpumzika. Je mke wako mpaka Sasa hivi mwez wa 2 umefanikiwa kumpa mimba. Jieleze vizur utasaidiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…