Msaada: Ghafla uume wangu hausimami

goli 5 mfululizo???
basi sawa
 
POLE KIONGOZI

....PUNGUZA HOFU ---JIAMINI KUA UNAWEZA CHEZA BALL VZR
2.ulajia angalia mfumo wa ulaji
3, fanya mazoezi mepesi
4 jipe mda wakutosha kupumzika
 
Kama tatizo bado linakusumbua njoo pm nikupe maelekezo ya tiba
 
Ha ha ha eti asante baba ,hiyo ni Psychological impotence ni kawaida sana especially ukiwa depressed au unakosa usingizi na fears,unrest etc
 
Pakaza pilipili kwenye kichwa cha uume utaona matokeo mbashara sana mwezako anatakiwa awe jirani (ukibaka miaka 30) mm simo
 
Bao tano hizo unaunganishaje au ni zile bao za dakika moja moja? So dakika tano una bao tano

Acha pombe, acha stress, fanya mazoezi, tumia asali mbichi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…