Msaada gharama ya kuchimba na kujenga shimo la choo ft 10 diameter na kina ft 12 material cost na labour cost

Areus

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
337
Reaction score
417
Msaada gharama ya kuchimba na kujenga shimo la choo ft 10 diameter na kina ft 12 material cost na labour cost

NB. Makadirio ya material na labour cost
 
Mimi nilijenga lenye ukubwa huo na dogo lake yote mawili yalinigharimu kama milion. 2.8. ila nadhani ningesave maana wachimbaji nilimpa kazi awasimamie fund ela aliyosema amewalipa wachimbaji ilikuwa pungufu kabisa
 
Mtwara Kubwa Ndugu, Mimi Nimechimba Nanyamba Hapo Mwezi Wa Saba Jamaa Wa Kuchimba Wamekula 100k Na Ujengaji Wakala 140k
878867439.jpg
 
Back
Top Bottom