Msaada:Gharama za kujenga ukuta(fence) na designs zake nzuri

Nyamtala Kyono

Senior Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
163
Reaction score
34
Wakuu,
Katika pekuapekua zangu kwenye thread za ujenzi sijakutana na moja yenye kuelezea jambo la muhimu kama ulinzi wa nyumba hasa fence.
Hapa ningependa tupeane mawazo na hata ikibidi picha za fence za kuta nzuri na imara ambazo pia ziko unique.

Bianfsi hiki kitu kinaniumiza kichwa sana. Nataka kitu unique na chenye mvuto.
Karibuni
 

.............
Mkuu naomba uni PM maana me ni architect nweza design hiyo fencing wall na ukapata kazi safi kabisa including cost estimation zake.
....
 


............ Nyamtala .....in general construction cost of any project depends on the following
* site conditions
- topography
- size
- location
-utilities and services availabe
- general climatic conditions
* design and level of specifications ( complexity and simplicity)
* client requirement and level of standard required
* method and technique of work execution.
etc.......

But for the of fencing wall the design shall base on
*deqree of privacy desired as far as the site it self is concerned
* possible disturbance/ interference of the fencing wall to the site microclimate
* architectural beauty of the fence itself without disturbing the above factors
* visual
* street quality
* fence vs landscaping and building elements orientation
*Gate vs adjacent roads


........mpaka Hapo mkuu kama una swali naomba uulize kabla sijaanza kudadavua hizo parts hapo juu ndo tuingie kwenye cost .......karibu
 
Last edited by a moderator:
Weka mambo hapa hapa, hii maneno ya pm ya nini? Kama kila mtu akiamua ku pm kutakuwa na habari hapa?

..........
Nshaweka intro. hapo Juu kama una swali please uliza ili twende pamoja .....@ TECHMAN
 

We acha kuremba sasa kinachokuumiza kichwa hapo ni nini?kama umeamua kujenga fensi nunua tofali jenga sasa unakuja kutuwekea hapa ili nini?sidhani kama kujenga fensi ni jambo la kuja kudiscuss hapa jf wewe cha kufanya nunua tofali za kutosha tafuta fundi jenga sio kila kitu lazima ukilete humu
 

ureni hii pia inaweza kuwa sehemu ya elimu kwa wengine na ndio maana tupo,kuna mengi tunajifunza....kama kinakufaa chukua kama hakikufai endelea na threads zingine humu au hamia mmu
 
Last edited by a moderator:
ureni hii pia inaweza kuwa sehemu ya elimu kwa wengine na ndio maana tupo,kuna mengi tunajifunza....kama kinakufaa chukua kama hakikufai endelea na threads zingine humu au hamia mmu

.............
Well said mkuu maana Kuna wengine wanleta udikteta fulan hivi.....
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa ratio ni meter moja kwa motofali 20 pima mzingo wa eneo lako zidisha mara 20! Idadi ya tofali utazopata zidisha mara 1.3 utapata idadi ya matofali ya kumlipa fundi.
~hyo idadi ya matofali x 250 hapo utapata hela ya ufundi
~matofati 200 kwa mfuko 1
 

Nimeamua kununua mtambo wangu mwenyewe wa kufyatulia matofali na blocks, kwa utaratibu huo naweza kupunguza ghrama za ujenzi wa ukuta kwa theluthi moja, pia nawaweka vijana wanaoweza kutengeneza ya ziada ambayo yatasaidia kuwapa mlo na kurudisha gharama za kununulia mitambo hiyo, wakifanikisha bidhaa hiyo hawa vijana si nitakuwa nimeshawatengenezea ajira?
 

yap utakuwa umetengeneza ajira nyingi mleta mchanga,muuza maji etc kwa simple fence ya 140m andaa mil5 had fnshn andaa 9m
 
ureni hii pia inaweza kuwa sehemu ya elimu kwa wengine na ndio maana tupo,kuna mengi tunajifunza....kama kinakufaa chukua kama hakikufai endelea na threads zingine humu au hamia mmu

hajielewi huyo anakurupuka tu..
 
Last edited by a moderator:
\

kwiii kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...

salama?
 
Hapo mkuu sijakuelewa vizuri.
Je unamaanisha kuwa nikiwa na tofali 4800 nikizidisha kwa 250 nakupata TSH.1,200,000.00 NDIYO GHARAMA YA FUNDI???///?? AU SIJAKUELEWA MKUU?
 
Wadau natafuta fundi wa ukuta(fence) wenye jumla ya tofali 4800.
Naomba kama wewe ni fundi tuwasiliane haraka iwezekanavyo.
Ahsanteni
 

We ni mgonjwa, inaonesha kiasi gani huko updated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…