Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Je, wafaham ku endesha chombo kingine chochote cha moto? Mf: pikipiki?
Kila la kheri ndugu yangu. Vipi Ile issue yetu? Tukutane PM
Mpaka leseni bajeti yako isiwe chini ya laki 3 maana kujifunza utajifunza ila leseni Hadi uhonge.
Ukifuata Sheria itakuchukua mda sana adi kuipata
Hongeraaa sanaaa.
Kwa ushari wangu nenda VETA au Driving school. Unatoka na cheti chako safi.
Haya bhanaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Veta ada yao sihiwez labda atokee mfadhiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafundishia Fuso for biginer
Haya bhanaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakushauri uende chuo cha mafunzo ya udereva, ili uweze kujifunza udereva pamoja na kuelewa sheria za usalama barabarani vizuri. Vijana wengi leo hii hapa nchini wanaoendesha pikipiki(bodaboda) hawana uelewa juu ya sheria za usalama barabarani matokeo yake ni ajili nyingi na kupelekea vifo na ulemavu.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Chukua ushauri huuHongeraaa sanaaa.
Kwa ushari wangu nenda VETA au Driving school. Unatoka na cheti chako safi.
Chukua ushauri huu
Mwaka flani enzi izo mie nilijifunza gari kwa kutumia Youtube, sijawai kufundishwa na mtu, na mpaka sasa am the best driver ki ukweli ukweli. damn! how special i am[emoji16]
Sio kwako tu ni ngeni kwa karibu wote humu. Unapaswa kwanza uwe na gari umelipaki nje, alaf unakula darsa la kutosha kuanzia mlango unafunguliwaje hadi taa zinawashwaje hadi kila kitu, ukimaliza unaenda ku practice huko nje.Mh mbona hii ngeni kwangu