MSAADA: Gharama za kujifunza kuendesha gari

Nenda chuo...tafuta cha private malipo ni kuanzia elfu 70 kwa wiki na kwa mwezi 250,000 . Leseni watakusaidia kushughulikia ila utailipia wewe.
 
Nenda chuo...tafuta cha private malipo ni kuanzia elfu 70 kwa wiki na kwa mwezi 250,000 . Leseni watakusaidia kushughulikia ila utailipia wewe.
Leseni watampiga 150k akiwaacha wamsaidie kuitafuta, yeye mwenyewe akifwatilia 80k tu itatosha, 70k ya leseni na 10 nauli anapata leseni ndani ya siku 3-5 muhimu awe na cheti toka chuo alichosoma na uthibitisho wa driving test.

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
Ni sahihi kabisa yani, vyuo vingi siku hizi hawawapeleki wanafunzi wao kwa VEHICLE INSPECTOR kutestiwa, bafala yake wanawatafutia leseni wateja wao ili wawapige cha juu. Siku ukipata majanga barabarani Polisi wakikudadisi ktk maelezo uliipataje leseni unasema nilipewa chuoni nilikosomea, mahakamani hakimu akiamka vibaya anawaagiza Polisi namtaka Vehicle Inspector aliyetoa leseni, Polisi nao hidi kwa RTO mahakama inamuhitaji V/Inspector alietoa leseni yenye No. hii unakuta haipo kwenye kumbukumbu za ma V/Inspector Tanzania. Tarehe ikifika ya mahakamani majibu ni kwamba Leseni ni HEWA. Hapo ndio utajua kuwa TRA sio watu bali ni ofisi.

Mtetezi wa leseni ni V/Inspector na sio Mkufunzi wa Driving.

Ushauri, tafuta chuo kinachoeleweka sio tu kinachojulikana na ukutane na sahihi/saini ya V/inspector. Wanao kushauri uwende veta jua wanakupenda na kukupendelea poa, maana maveco wapo mule mule.
 
Sio kwako tu ni ngeni kwa karibu wote humu. Unapaswa kwanza uwe na gari umelipaki nje, alaf unakula darsa la kutosha kuanzia mlango unafunguliwaje hadi taa zinawashwaje hadi kila kitu, ukimaliza unaenda ku practice huko nje.
Ukitaka kujua gari uwe nalo karibu
 
Mambo ya ulaya hayo
 
Mpaka leseni bajeti yako isiwe chini ya laki 3 maana kujifunza utajifunza ila leseni Hadi uhonge.
Ukifuata Sheria itakuchukua mda sana adi kuipata
Ila bila cheti cha mafunzo ya udereva, siku hizi kuna kazi sana kupata leseni, kwani nakala ya cheti cha mafunzo lazima kibaki kwa trafiki mkuu (vehicle inspector)
 
Huu Ni ushauri muhimu sana sana. Zingatia ushauri huu hutakuja ujute.
 
Mh lakini kama mtaana napata mtu akanifundisha vizuri sana kuliko kawaida je ni vibaya
Tatizo siyo kufundishwa. Ili uweze kuendesha chombo cha moto nilazima uwe na leseni. Leseni hupati mpaka uwe na cheti cha mafunzo ya udereva toka taasisi inayotambulika. Kama hutaki kusumbuliwa zingatia hayo.
 
Thanks

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka flani enzi izo mie nilijifunza gari kwa kutumia Youtube, sijawai kufundishwa na mtu, na mpaka sasa am the best driver ki ukweli ukweli. damn! how special i am[emoji16]
Mkuu ww upo kama mm tu, sikuwahi kwenda driving school ila nilijifunza kupitia YouTube na siku nimeshika gari nusu saa tu ilitosha kuniingiza barabarani rasmi

Nimejifunza kwamba kama mtu yupo vizur kufuata maelekezo ya theory bas hata kwene practical atakua vzur pia
 
Njoo kwetu
#LUMUMBA DRIVING SCHOOL#
Chuo Bora na chenye uzoefu wa kutoa mafunzo kwa miaka 15 Sasa
Tunatoa mafunzo Hadi kwa wale wanaotarajia kufanya interview za kimataifa(U.N)
KARIBU SANA
KWA MAFUNZO BORA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…