Msaada - Gharama za kukodi Bull Dozer kwa Dar

Msaada - Gharama za kukodi Bull Dozer kwa Dar

Mgombezi

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
610
Reaction score
181
Wana JF; nahitaji kukodi bull dozer kwa ajili ya kuvungja msitu maeneo ya kisarawe, kwa yeyote anayefahamu kampuni au mtu ambaye anakodisha mashine hii na gharama zake kwa siku au saa.

Natanguliza shukrani
 
Sie tunakodisha kuanzia mwezi mmoja na kuendelea. Tunaitwa Mantrac(T) Limited. Tupo Nyerere road karibu na TOL na Quality Plaza na Uniliver. Unaweza kuni PM kwa maelezo zaidi au tembelea website yetu ambayo ni Mantrac Tanzania, Caterpillar Tanzania, Caterpillar dealer in Tanzania, Caterpillar Machines in Tanzania, Caterpillar Engines in Tanzania, Caterpillar Material Handling Equipment in Tanzania, Caterpillar Fork Lift in Tanzania, Used Caterpillar Tanzan

Nahitaji excavator ya kununua used 320
 
Ni kama $16,500 USD hadi $22,000 kwa mwezi.

Mkuu, nikiwa na TSh.10 mil, nitapata grader kwa kukodisha la aina gani na kwa muda gani? Vile vile naomba uniambie kwa shs.milioni 5 je, unapata la aina gani na kwa muda gani? Ahsante.
 
Mpigie Hamisi Nkamu +255764272822 atakupa mwongozo.
Kwa siku ni kati 600,000 hadi 800,000/
 
Ningependa kufahamu
1.brand
2.model
3.mwaka
4.bajeti yako
ili iwe rahisi kujua unayohitaji na kukupatia ushauri zaidi.
asante
mas& rich co.
suppliers of used heavy machinery

Nahitaji excavator ya kununua used 320
 
Ina maana kukodi ni ghali sana hivyo?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sie tunakodisha kuanzia mwezi mmoja na kuendelea. Tunaitwa Mantrac(T) Limited. Tupo Nyerere road karibu na TOL na Quality Plaza na Uniliver. Unaweza kuni PM kwa maelezo zaidi au tembelea website yetu ambayo ni Mantrac Tanzania, Caterpillar Tanzania, Caterpillar dealer in Tanzania, Caterpillar Machines in Tanzania, Caterpillar Engines in Tanzania, Caterpillar Material Handling Equipment in Tanzania, Caterpillar Fork Lift in Tanzania, Used Caterpillar Tanzan

Nashukuru Mkuu
 
Mpigie Hamisi Nkamu +255764272822 atakupa mwongozo.
Kwa siku ni kati 600,000 hadi 800,000/

Nashukuru na nitafanya mawasiliano, angalau hapa nimepata option ya saa na siku.
 
mkuu ni PM nikusaidie deal nzuri manake ndo kazi yangu
 
Back
Top Bottom