mavado JF-Expert Member Joined Jun 25, 2014 Posts 1,153 Reaction score 798 Sep 6, 2014 #1 Jameni kwa wale waishio Mufindi, Iringa na maeneo yanayozalishwa mbao, je kujaza ile semi, inaweza gharimu kiasi gani, naomba wazoefu wa biashara hii au wanaoijua kiundani zaidi
Jameni kwa wale waishio Mufindi, Iringa na maeneo yanayozalishwa mbao, je kujaza ile semi, inaweza gharimu kiasi gani, naomba wazoefu wa biashara hii au wanaoijua kiundani zaidi