D danilo silva Member Joined Oct 14, 2010 Posts 53 Reaction score 10 Apr 25, 2014 #1 Wadau ningependa kujua gharama za kutuma pesa kutoka benki moja kwenda nyingine hapa nchini mfano NBC kwenda CRDB
Wadau ningependa kujua gharama za kutuma pesa kutoka benki moja kwenda nyingine hapa nchini mfano NBC kwenda CRDB
M moraru New Member Joined Aug 31, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Apr 25, 2014 #2 Tzs 10,000 tu....ukituma kwa TISS
D danilo silva Member Joined Oct 14, 2010 Posts 53 Reaction score 10 Apr 25, 2014 Thread starter #3 Ahsante Mkuu hiyo 10,000 ni kwa kiwango chochote?
B bhokemsama Member Joined Jan 12, 2014 Posts 25 Reaction score 5 Apr 25, 2014 #4 Min charge ni elf5 na max charge ni elf10 but amount above 10m kuna plus charge ya 0.25% ambayo haizidi elf35
Min charge ni elf5 na max charge ni elf10 but amount above 10m kuna plus charge ya 0.25% ambayo haizidi elf35
B bhokemsama Member Joined Jan 12, 2014 Posts 25 Reaction score 5 Apr 25, 2014 #5 Hiyo ni kwa TISS na EFT danilo
B bhokemsama Member Joined Jan 12, 2014 Posts 25 Reaction score 5 Apr 25, 2014 #6 Kama ni below 10m kafanye kwa EFT it wil take only 48 hrs kureflect kwa other bank
D danilo silva Member Joined Oct 14, 2010 Posts 53 Reaction score 10 Apr 25, 2014 Thread starter #7 Asanteni wote kwa Majibu