Lastname JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 921 Reaction score 297 Aug 22, 2013 #1 Na hii ya mwaka 2000 nitaipata kwa bei gani? kwenye internet inaonesha bei yake ni $14,000 Naweza pata gari hii kwa bei gani hapa bongo?? ya mwaka 1998, kwenye mtandao inaonesha $ 7000
Na hii ya mwaka 2000 nitaipata kwa bei gani? kwenye internet inaonesha bei yake ni $14,000 Naweza pata gari hii kwa bei gani hapa bongo?? ya mwaka 1998, kwenye mtandao inaonesha $ 7000
Prodigal Son JF-Expert Member Joined Dec 9, 2009 Posts 1,068 Reaction score 711 Aug 22, 2013 #2 watembelee hawa jamaa...........naamini utapata mwanga zaidi Welcome to GariYangu.Com Kila la kheri
Lastname JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 921 Reaction score 297 Aug 22, 2013 Thread starter #3 Asante sana kaka
Kilimo JF-Expert Member Joined Sep 27, 2011 Posts 777 Reaction score 194 Aug 22, 2013 #4 Duh hii kitu ni noma, thanx sana mkuu.
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,198 Aug 22, 2013 #5 Vipi mkuu, hizo bei ulizoonyesha hapo ni FOB au ni CIF? Inabidi uwe na uhakika na hilo mkuu vinginevyo utajuta mwishoni.
Vipi mkuu, hizo bei ulizoonyesha hapo ni FOB au ni CIF? Inabidi uwe na uhakika na hilo mkuu vinginevyo utajuta mwishoni.