Msaada: Gharama za Plaster

Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster na ufundi nyumba hii ina vyumba vitatu kimoja self..public toilet..sebule,dining na jiko
 
Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster na ufundi nyumba hii ina vyumba vitatu kimoja self..public toilet..sebule,dining na jiko
 
Karibu tukufanyie kaz Bora call& what apps 0757735884 Instagram highland_decor_solution
 
#Kelv

FINISHING MASTER

House FinishinG

Plasta Ya Kiwango

Urembo wa kisasa

SkimminG na RanGi

Tiles

Usimamizi wa Kazi

[emoji338] 0789005562

Enewei!
Bei za urembo ni hizi hapa [emoji1484][emoji1484]

Dirisha Tsh 40,000

Nguzo Tsh 40,000

Kona Tsh 40,000

Skating Tsh 200,000

Plasta tutapatana tukifika saiti!

Simu : 0789005562

What'sApp link.... [emoji1484][emoji1484]

Wa.me/255789005562

#ujenzi #ujenzizone #ujenziwanyumbaboratz #ujenzizone #ujenzizone_tz #finishing #TANZANIA #tanzania #FINISHING #urembo #uremboniheshima #UremboWaDirisha #urembowanguzo #urembowanyumba #KelvinDecoration #hkdecoration #KevooFinishingMaster
 
Unaweza ukatusaidia nyumba kama hizo umepiga kwa gharama gani ufundi na materials? Weka hata range kama hutaki kua specific
 
Unaweza ukatusaidia nyumba kama hizo umepiga kwa gharama gani ufundi na materials? Weka hata range kama hutaki kua specific
Unaulizia kuanzia plasta hadi Rangi au Urembo hadi Rangi au skimming hadi Rangi?
 
Mkuu hio nyumba ya kwanza imekula mifuko mingapi ya cement?
 
TANGA AGAIN .....TANGA TENAA....TANGAAAAA....HOME SWEAT HOME

NIMEWASIKIA NA NIMEWAFIKIA NIPO KWENU KWA BEI ILE ILE YA TAIFA ZIMA

Dirisha Tsh 40,000
Kona Tsh 40,000
Nguzo (around) Tsh 50,000
Nguzo (Sqear ) Tsh 50,000
Mlango Tsh 35,000
Dining (Arch) 1,000,00
Skating nzima Tsh 2,000,00

Nipigie kwa namba 0789005562

Au njoo wasap kwa link hii [emoji116][emoji116][emoji116]

Wa.me//255789005562
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…