Wewe nyumba ya sie kajamba nani. Mie bodaboda sasa haya mambo ya mkanda sijui blinding nitayaweza wapi. Mie nataka tuu shemu ya kulala basiUnajua kuna wakati ni ngumu kufanya makadirio sahh bila kujua design ya nyumba au chumba mteja atakacho mfano kina mtu anajenga kijumba Cha kuanzia maisha haweki Baraza mwingn anaweka Baraza mwingn haweki nguzo mwingn anaweka mwingn haweki zege la mkanda mwa chini mwingn anaweka mwingn hamwagi zege la blndng chini kulingana na ardhi au bajeti mwingn anamwaga haya ni mambo yanayoleta mabadiliko ya bei n.k
Kama ni s ni chumba choo sebule mpk kupaua haitozid laki5 sabb utapaua normal slop tu ila Kam ni chumba na choo pekee inakuwa nusu yake ikiwa material umecollect yoteWewe nyumba ya sie kajamba nani. Mie bodaboda sasa haya mambo ya mkanda sijui blinding nitayaweza wapi. Mie nataka tuu shemu ya kulala basi
Hapa sasa mukideKama ni s ni chumba choo sebule mpk kupaua haitozid laki5 sabb utapaua normal slop tu ila Kam ni chumba na choo pekee inakuwa nusu yake ikiwa material umecollect yote
Pmj nduguHapa sasa mukide
Huo ni unyonyaji....jitahid ukiwa unamlipa fundi hata kama ni ww ndio umempa kazi basi vaa viatu vyake pia kwamba je ingekuwa ww ungeridhika au hiyo pesa angalau ingekufaa.Jitahidi uwe mzuri kwenye kubargain
Hivi unajua fundi kutwa analipwa shilingi 30,000 hadi 25,000
Wakati mwingine hulipwa Kwa idadi ya tofali
Inaonekana hujawahi kusimamia kazi za Ujenzi MkuuHuo ni unyonyaji....jitahid ukiwa unamlipa fundi hata kama ni ww ndio umempa kazi basi vaa viatu vyake pia kwamba je ingekuwa ww ungeridhika au hiyo pesa angalau ingekufaa.
Hahaha............unatakiwa kubanana na Mafundi vizuri ili kuhakikisha hela ya Mkopo uliyokopa kujenga kibanda cha kuishi inatosha kumalizia hicho kibanda na wewe kuhamia 🤗Mmh hii bei babu....bei ya serikali bila efd 😁
Mafundi wapo, tembelea site za Ujenzi utakutana naoMmmhhh,
Hizi bei zipo kweli? Unae fundi hapa Dar wa hizi bei?
Inawezekana umewahi simamia ujenzi lakini mlolongo wa ujenzi kwamba kwann unampa fln kazi Bado hujaujua sasa unamleta fundi akujengee nyumba umlipe kama anavyolipwa na fundi mwenzake kwa hyo wewe utakuwa boss na injinia wake mkuu kwenye kazi unapompa mtu jukumu la KUKUJENGEA yeyr ndie msimamizi wa jengo lako lisijengwe kiholela pia kama hela ni pungufu mtaongea lkn sio unamleta umlipe malipo ya siku kesho akipata kaz nyingn akaamkia kwingn utamlaumu?? Si ulimleta kupiga day waka???Inaonekana hujawahi kusimamia kazi za Ujenzi Mkuu
Mfano ukimuuzia kazi ya Ujenzi wa nyumba ya Vyumba 3 fundi Kwa shilingi 2,500,000
Basi ujue Mafundi wake atakaojenga nao atawalipa hizo 30,000 hadi 35,000 Kwa Siku
Wakati huo, saidia fundi atalipwa shilingi 10,000 Kwa Siku.
Hilo la kwamba nivae viatu vyake, naelewa
Lakini tunaishi kwenye Dunia ya Ubapali, muhimu mkikubaliana kwamba hiyo nyumba ya Vyumba 3 atajenga Kwa shilingi 2,500,000 basi inakuwa imeisha
Kama fundi ataona umepunja sana, si mtakaa na kubargain tena??
Umesema sahihi Mkuu, japo binafsi nilijaribu kuonesha ni namna gani ya kufanya ili kupunguza gharama za Ujenzi.Inawezekana umewahi simamia ujenzi lakini mlolongo wa ujenzi kwamba kwann unampa fln kazi Bado hujaujua sasa unamleta fundi akujengee nyumba umlipe kama anavyolipwa na fundi mwenzake kwa hyo wewe utakuwa boss na injinia wake mkuu kwenye kazi unapompa mtu jukumu la KUKUJENGEA yeyr ndie msimamizi wa jengo lako lisijengwe kiholela pia kama hela ni pungufu mtaongea lkn sio unamleta umlipe malipo ya siku kesho akipata kaz nyingn akaamkia kwingn utamlaumu?? Si ulimleta kupiga day waka???
Laki 6 Pesa za ufundi....Material na mengine tukifika site 0789005562Za weekend wandugu?
Heri ya Sikukuu ya Eid wana jukwaa. Hapa ninapoishi pana nafasi kubwa tu imebaki. Ni nyumba ya familia lakini nimeruhusiwa kujenga. Nataka nijenge Chumba kimoja na Sebule. Upande wa chumba nitatoa choo pembeni, na upande wa Sebule nitatoa Jiko.
Sasa muongozo wenu naomba, fundi anatakiwa labda acheze kwenye kias gani ufundi labda? Just bei elekezi tu, yaweza kua +/- kias kidogo hapo. Ni ujenzi wa boma tu bila kupaua.
Saiti ni Sinza Uzuri, Dar es Salaam.
Weka ramani nikukadirieZa weekend wandugu?
Heri ya Sikukuu ya Eid wana jukwaa. Hapa ninapoishi pana nafasi kubwa tu imebaki. Ni nyumba ya familia lakini nimeruhusiwa kujenga. Nataka nijenge Chumba kimoja na Sebule. Upande wa chumba nitatoa choo pembeni, na upande wa Sebule nitatoa Jiko.
Sasa muongozo wenu naomba, fundi anatakiwa labda acheze kwenye kias gani ufundi labda? Just bei elekezi tu, yaweza kua +/- kias kidogo hapo. Ni ujenzi wa boma tu bila kupaua.
Saiti ni Sinza Uzuri, Dar es Salaam.
Laki 9 Pesa za ufundi....Material na mengine tukifika site 0789005562
NaombaNimekaiba mtandaoni nikaweka vipimo