Msaada: Gharama za ununuzi wa gari za mashindano

born again pagan

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
2,336
Reaction score
1,491
Wakuu habarini za mida na pia poleni na mishe mishe za hapa na pale katika harakati za kulijenga Taifa letu.

Bila ya kupoteza muda, naomba mwenye uzoefu au ufahamu wa ni kiasi gani cha pesa "za kitanzania" zinahitajika kupata gari za mashindano yaani Rally Sports Car.

Aina yoyote ya gari iwe ni:-
1. Mitsubishi Evo series
2. Subaru N series
3. Ford Porto frester.

Najua JF is Google like search engine ambayo watu ufanikiwa katika shida zao mbalimbali.

Nawasilisha.
 
Zote hizo...
Ila nakushauri uchukue Toyota Supra Ina engine ambayo unaweza kuichezea kama unavyo taka na inaweza kutoa nguvu hadi 1000.
Ina camshaft nzuri sana.
Nashukuru.....unanipa mwanga zaidi
 
Aah!! Tafuta Datsun 160j japokuwa kitu cha zamani lakini utawatoa kamasi wakina renault
 
Aah!! Tafuta Datsun 160j japokuwa kitu cha zamani lakini utawatoa kamasi wakina renault
Datsun haiwezi kusimama ligi moja na kina Evo 9.......pia Datsun 160j nadhani ni 2WD.
Nataka 4WD
 
Napenda sana rally, bei zake ni kubwa sana.
Mimi ni mpenzi wa fast cars nimeendesha Leon cupra ni 221kw horsepower na gear 6. 155 max speed.

Nilikuwa na Nissan 280zx nikawa naweka plug za Porsche inachomoka haswa.
Good luck huenda ukafanikisha ndoto yako
 
Mkuu hili suala la bei ni changamoto kidogo lakini ili nitimize lengo itabidi ninunue hata gari used halimradi liwe standard.
 
Vipi ulaji wa mafuta ulikuwaje
 
Vipi ulaji wa mafuta ulikuwaje
Kwa kuwa ilikuwa uarabuni unatafuta safari za lazima
Lakini ni mnywaji mzuri.
Cupra ni mpya na mambo mapya kwa technology ina kunywa pia ila ina mode za kubadili kuna comfort, individual. Sport na Cupra mode.
Ukiweka mode ya cupra inakwenda balaa ila tegemea kutafuta kituo cha mafuta
Vipi ulaji wa mafuta ulikuwaje
 
Zote hizo...
Ila nakushauri uchukue Toyota Supra Ina engine ambayo unaweza kuichezea kama unavyo taka na inaweza kutoa nguvu hadi 1000.
Ina camshaft nzuri sana.
engine yake si ndo hiyo 2JZ GTE? hivi used zipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…