Naombeni nijue maana ya hicho kipimo cha sukari kwenye damu, kuna ndugu kapima kapata hayo majibu dactari mmoja kasema iko chini sana na mwingine kasema ni ndogo sana.
Kama alivyo sema mkuu apo juu...kwa kutumia glucometer (RBG) in mmol/l normal tange inacheza kuanzia 3.5mmol/l-8mmol/l below hapo ni hypoglacemia (sukari yaku shuka) na above hapo ni hyperglaceamia. pia vizio vyaweza tolewa in terms of mg/dl inategemeana na test wanayo tumia either chemistry analser machine or qualitative test by using GOT.