G giraffe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2010 Posts 630 Reaction score 257 Jan 2, 2011 #1 natumia gc brwser ,lakini inakataa log in kwenye facebook,inasema haitambui username wala passwod zangu.msaada
natumia gc brwser ,lakini inakataa log in kwenye facebook,inasema haitambui username wala passwod zangu.msaada
Papizo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 4,951 Reaction score 1,446 Jan 3, 2011 #2 Check vizuri mkuu maana mimi mwenyewe ndio natumia hiyo labda kuna mahali kuna problem..Je umejaribu na mozilla au opera na bado inagoma?? Au clear everything kwenye hiyo google chrome then jaribu tena!!
Check vizuri mkuu maana mimi mwenyewe ndio natumia hiyo labda kuna mahali kuna problem..Je umejaribu na mozilla au opera na bado inagoma?? Au clear everything kwenye hiyo google chrome then jaribu tena!!
SamJet Senior Member Joined Jul 22, 2009 Posts 162 Reaction score 13 Jan 3, 2011 #3 Tatizo ni facebook yenyewe, Kama unatumia pass yenye special characters basi reset kwa kwenda "forgot my pass" afu check caps lock
Tatizo ni facebook yenyewe, Kama unatumia pass yenye special characters basi reset kwa kwenda "forgot my pass" afu check caps lock