saidi01 Member Joined Oct 10, 2017 Posts 19 Reaction score 10 Jun 12, 2022 #1 WINDOWS 7 Inagoma kustart na siba utaalam Wa computer, msaada guyz.
PCGAMES JF-Expert Member Joined Apr 11, 2013 Posts 782 Reaction score 1,157 Jun 12, 2022 #2 Inaleta ujumbe gani?, ukiambatanisha na picha itakuwa vyema.
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 Jun 12, 2022 #3 Tuko kwenye windows 11 mkuu!
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,082 Reaction score 14,457 Jun 12, 2022 #4 Mara nyingine ni ram zikiyumba computer haiwaki feni inakuwa inazunguka tuu ila ile taa ya nyano ya kuonyesha kuwa ipo tayari haiwaki. Ukizicheki ram kuzitoa , kupangusa vumbi na kuzirudisha vizuri kwenye reli yake inaweza kuwaka
Mara nyingine ni ram zikiyumba computer haiwaki feni inakuwa inazunguka tuu ila ile taa ya nyano ya kuonyesha kuwa ipo tayari haiwaki. Ukizicheki ram kuzitoa , kupangusa vumbi na kuzirudisha vizuri kwenye reli yake inaweza kuwaka