Wandugu,
Kama kuna mwana bodi yeyote ambaye alishawahi kufanya kazi au bado anafanyakazi Mradi wa HADO (Hifadhi Ardhi Dodoma), nadhani makao makuu yake yalikuwa/yapo Kondoa; au mradi wa HASHI (Hifadhi Ardhi Shinyanga). Naomba awasiliane nami kwa njia ya PM, ninahitaji msaada wa info kuhusiana na miradi hiyo miwili.
Ninatanguliza shukurani!