Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Humu tunaitana mkuu bila kujuana jinsia(kama member wamezuia profile zao kwa baadhi ya watu{halafu kwanini watu mnalimit watu wa kuona profile zenu?hata gender tu?}),umri au vyeo.Sasa ikitokea members humu wamependana wakakubaliana kuishi kama mke na mume(kama members fulani maarufu humu),je mkiwa pamoja bado mtaitana wakuu mkiwa chumbani?
Asanteni.
Asanteni.