Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Humu tunaitana mkuu bila kujuana jinsia(kama member wamezuia profile zao kwa baadhi ya watu{halafu kwanini watu mnalimit watu wa kuona profile zenu?hata gender tu?}),umri au vyeo.Sasa ikitokea members humu wamependana wakakubaliana kuishi kama mke na mume(kama members fulani maarufu humu),je mkiwa pamoja bado mtaitana wakuu mkiwa chumbani?
Asanteni.
Thank you please,halafu hiyo size ya maneno ni makusudi ama unahisi tuna matatizo ya macho mkuu popoma?Mind your own business please.
Thank you please,halafu hiyo size ya maneno ni makusudi ama unahisi tuna matatizo ya macho mkuu popoma?
AiseeNdio mkuu, tutaendelea kuitana ivo yaani
Hebu andika kiswahili na wewe au rudi RwandaMind your own business once again please.
Doesn't make sense PLEASE.Mind your own business please.