Msaada: haki na wajibu wa mtu aliyepata ajali au kusababisha ajali ya gari.

Msaada: haki na wajibu wa mtu aliyepata ajali au kusababisha ajali ya gari.

Mwana kinyonga

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
377
Reaction score
224
Habari wana jamvi,ningependa kupata msaada wa hayo yaliyosemwa hapo juu kwa vigezo vya kisheria na kiutu.
Je ni sawa kwa trafiki kuchukua lesen yako na kukaa nayo?
Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom