Msaada:Haki ya mtoto aliye chini ya miaka saba

Msaada:Haki ya mtoto aliye chini ya miaka saba

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,433
Reaction score
1,442
Ndg wanasheria,

Kuna rafiki yangu mmoja alimpaga ujauzito binti yeye akaenda masomoni,imepita miaka mitatu hajarudi lakini wazazi wake walimtoleaga mahari huyo binti na akaenda kuishi kwao na jamaa.Lakini jamaa yangu mpaka leo hajarudi akidai kua yule binti sio mke wake lakini mtoto ndo wake.Yule mdada wiki iliyopita ametoroka.na kumwacha mtoto kwa wazazi wake.

Sasa mtoto ni under 7 years na anatakiwa awe na mama yake,yule mdada sasa hivi anadai hela ya matumizi ndo amchukue mtoto na pia.binti hataki kukaa nyumbani kwao na jamaa (nahisi amepata mabwana wengine).

Je,Kisheria inatakiwa kulipa shilingi ngapi kwa wiki au kwa mwezi km pesa ya matunzo kwa mtoto ukichukulia baba yake anakipato cha kawaida?
 
ni changamoto kwa kweli..

mkuu nitalifanyia kaz kesho nitamtafuta jamaa wangu wa LHCR
 
Uhamuzi wa huyo dada ni sahihi. Hawezi akakaa kwa wazazi wa mwanaume asienampango nae.
Kwenye swala la hela ya matumizi ya mtoto, mahakama inaangalia among other things, kipato cha baba. So, since haya mambo hayajafika huko. Its best aulizwe anataka how much. Then negotiate. Hakuna haja ya kupelekana mahakamani.
 
Back
Top Bottom