Msaada: Haki za kimsingi za raia

Joseverest

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
52,812
Reaction score
71,392
Naomba kufahamu hili jambo kisheria,, inakuwaje pale mwananchi anapokosa haki yake ya kimsingi kwa mujibu wa katiba kutokana na uzembe wa mamlaka za kiserikali?

Je malalamiko ya kisheria yanakuaje kuaje? Wenye uelewa na sheria nifahamisheni....
 
tunabishana na watu hapa,,, kwenye suala la bvr kwa wale ambao hawajaandikishwa na vigezo vipo...
 
kwa nn hawajaamdikishwa,ni jibu gani wanalopewa kwa kutokuandikishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…