Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 43,973 Reaction score 150,463 Apr 23, 2021 #1 Wakuu nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Nina uhitaji wa half Engine ya Nissan hardbody QD 32, mwenye nayo au maelekezo wapi pa kuipata kiurahisi itakuwa msaada kwangu muhimu iwe jiji mwetu humu la joto. Asanteni.
Wakuu nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Nina uhitaji wa half Engine ya Nissan hardbody QD 32, mwenye nayo au maelekezo wapi pa kuipata kiurahisi itakuwa msaada kwangu muhimu iwe jiji mwetu humu la joto. Asanteni.
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Apr 23, 2021 #2 Ilala boma hapo za kumwaga hiyo 32 QD ndio hiyo hiyo kwenye hizo hiace za Nissan caravan