murder na manslaughter.......Kuna utofauti gani kati ya kuiba na kukusudia kuiba? Na adhabu zake zipoje mbele ya sheria?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna utofauti gani kati ya kuiba na kukusudia kuiba? Na adhabu zake zipoje mbele ya sheria?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kikikamatwa mahali kwingine huo unakuwa wizi au kusudio la kuiba?Kuiba (theft) ni actual doing of the act.
Kukusudia kuiba ni processes ya kufanya kitendo cha theft ambapo kutokana na kitu fulani accidental kutokea, inatokea kuwa kitendo hakikukamilika. Hii inaitwa Inchoate Crime.
Chini penal code hiyo ina adhabu pia.
Kwa hiyo kukusudia kuiba nalo ni kosa la Jinai?Kuiba ni kufanikisha zaoezi la kitendo cha wizi...
Wanasheria wamekujibu hapo juu nazani umeelewa japokuwa jf sikuhizi kuna majikwaa ni wachoyo sana wa kutoa elimi..
Mkuu ukiona hujaelewa vizuri nendazako google
Mkuu mimi sifahamu sheria lakini kwa hilo swali...jibu lake ni NDIYO
Sawa mkuuMkuu mimi sifahamu sheria lakini kwa hilo swali...jibu lake ni NDIYO
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna utofauti gani kati ya kuiba na kukusudia kuiba? Na adhabu zake zipoje mbele ya sheria?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa vizuri sana mkuu nashukuru sana kwa madini mazuri!Tofauti ipo tena kubwa sana
Kosa la kuiba ni pale ambapo mshtakiwa alidhamiria kuiba na akafanikiwa kuiba kitu hiko na endapo atapatikana kosa hilo basi kwa mujibu wa kanuni ya adhabu kifungu namba 265 mtu huyo atahukumiwa adhabu ya miaka 7
Kukusudia kuiba ni pale mtu anapodhamiria kuiba na katika kitendo kile cha wizi bac akashindwa kutekeleza adhma yake ya kuiba labda alikutwa au kitu kngne chochote kilimzuia kutekeleza japo alidhamiria kwa asilimia 100 kuiba na endapo atapatikana na kosa hilo basi ataadhibiwa kifungo cha miaka miwili au fain au vyote kwa pamoja kwa mujibu kanuni ya adhabu kifungu namba 380.