Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

Ni vizuri mkibahatika kupata wahongaji kama hao muwekeze ili akikuchoka na kuchukua mwingine una pa kuanzia. Sio unabaki kusimulia tu ilikuwa hivi vile......

Na
Hivi unaachaje hela lkn!!
Kwakweli wanaume walitakiwa wawe na pesa na masai sio kuwekana njia panda namna hii.

Na

Na

Hili lina ukweli, wachache sana huwa wanafanya ya maana.

Na

......and their private parts will always suffer.....!!!!!

Jamani tumeomba msaada sio kumsema dads wa watu au mlitaka niandike full story yake ndio mumwone jembe?!

Hivi kumbe wanawake wenye "mizigo" wanajua kuwa wana mizigo!!! Hahaha, manake kweli wapo waliojaaliwa, kama ni dushe tungesema "mandingo"...
Ndio wapo kibao
 
Duh ama kweli watu wanapesa asee chaliiangu. .khaa one million daily unahonga kwa mameloo [emoji22][emoji22][emoji22]
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji12] Ndio maana kasema amejaaliwa. Her private parts have suffered already!!
Ni sheedah

Ngoja wengine waendelee ku comment nilete uzi wa dushe sasa maana hapa sipati msaada mnakimbilia kwenyw vitu na kuhonga
 
sijapata dada ukipata niweke

Kipindi hiki cha kazi tuu ukihongwa laki 5 katoe sadaka kanisani

Duh ama kweli watu wanapesa asee chaliiangu. .khaa one million daily unahonga kwa mameloo [emoji22][emoji22][emoji22]

Usicheze na waarabu baab!

mi nasubiri mambo ya dushe tafadhali harakisha

Toeni basi msaada nilete vyombooo

Ukisoma/akisoma kwa umakini utaelewa/ataelewa kuwa hapo kuna ushauri zaidi ya tani moja.
Kiru!
 
mwaka mzima huu nilishawai kuhongwa kama laki moja ,jumlisha elf 30 kama tatu hivi jumlisha elf 45 jumla ni sh ngapi ! maana nishaharibu sitapewa tena
 
Wadada na mikoba yenu kwenye daladala mtatutoboa macho..nasoma Uzi huru umekolea Mara ghafla mkoba huooo kwenye macho...OK achaniendelee kusoma
 
mwaka mzima huu nilishawai kuhongwa kama laki moja ,jumlisha elf 30 kama tatu hivi jumlisha elf 45 jumla ni sh ngapi ! maana nishaharibu sitapewa tena
Jamaaani
Che! Kweli Ngosha sio mchezo ameamuaaaa kutunyoooshaaa

Sasa mamii kuwa rafkiangu nikuunge kwa vibopaaa ila mambo ya kuji underestimate hata staki. Haujaaribu bwana haya yote maisha tunapanda ngazi ili tufike mahali!

Utakuwa wewe ndo unawashwa.
Boss unaongea nini?! Kichina au?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…