Msaada hapa!

Msaada hapa!

banalunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
231
Reaction score
67
Wakuu habari ya majukumu. nimetoka kumaliza dawa za typhoid dozi ya siku tano, dawa aina ya ciproflaxin, swali langu ni, je ni baada ya mda gani naweza tumia kinywaji(bia)? nina siku ya 10 tangu nimemaliza dozi.
 
Back
Top Bottom