banalunda JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 231 Reaction score 67 Jun 5, 2014 #1 Wakuu habari ya majukumu. nimetoka kumaliza dawa za typhoid dozi ya siku tano, dawa aina ya ciproflaxin, swali langu ni, je ni baada ya mda gani naweza tumia kinywaji(bia)? nina siku ya 10 tangu nimemaliza dozi.
Wakuu habari ya majukumu. nimetoka kumaliza dawa za typhoid dozi ya siku tano, dawa aina ya ciproflaxin, swali langu ni, je ni baada ya mda gani naweza tumia kinywaji(bia)? nina siku ya 10 tangu nimemaliza dozi.
kisanganyakiswata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2014 Posts 1,299 Reaction score 552 Jun 5, 2014 #2 Bado siku 5