Daaa kama ni ndogo atoe tu ila kuanzia miez minne aache ila itakuwa vigumu msela kukubali mzigo huo. Kama mliachana kwa namna hiyo unalo dada
na huyo mwanaume atasema huyo dada ni muuwaji wa wanaume na watoto then atasema anatabia chafu kuliko mbwa jikeMwanaume mwenyewe alikuwa km mbwa so ya nini kuzaa na stupidy &irresponsible man!
Sabry,this is june,post ni ya april,pray tell us,nini kimetokea hapo katikati?
Sina ushauri kabisa. Pambafu zake. Mwambie ajibu hapa halfu aamue cha kufanya.
1. Hivi mwanafunzi wa Chuo Kikuu hajui kuwa kuna kinga zidi ya mimba.
2. Mdaruso/Msuaso nk hajui mzunguko wake.
3. Mchuo kikuu hajui kuwa kuna kitu kinaitwa CORPUS INTEREPTUS (kumwaga nje). Hivi hajui matumizi bora ya kifanyio (komdomu).
4. Aliacha somo la elimu ya vumbe (biology) akiwa darasa la kwanza?
Kawaida Bazazi hulipa gharama za upumbafu aufanyao. Naye alipie gharama za upambafu wake.
Bazazi ni Bazazi!
Bishanga, the girl decided to abort kimya kimya bila kumshirikisha m2, nlikuja gundua alipokuwa anaugulia, so amebaki na dhambi yake ya kuua, anadai its the best soln as the man rejected the pregnancy nae hawezi kurudi kwao mjamzito tena amekataliwa!