mwalisa jr
Member
- Aug 18, 2015
- 50
- 18
hahahaha ukajoin movement?? uko vizuri mkuu kama mlilia woteItakuwa hashib vizur mtt hat mie nilivyopat first born wangu alikuwa analia mnoo had nami naanza kulia nae khaa uzao wa kwanza ni shid jamn looh
Kuna dawa inaitwa mafuta ya samaki, mnunulirjaman wataalam nisaidieni mtoto wangu anawiki mbili lkn analia sana ananyonya kidogo anaendelea kulia, pia anakula vidole nisaidieni wengine wanasema maziwa ya mama labda mepesi hashibi sielewi huyu ni mwanetu wa kwanza plz niasaidieni
Wewe acha huwez amin ilikuwa nalia nae na mimhahahaha ukajoin movement?? uko vizuri mkuu kama mlilia wote
Naomba unielewe mimi sio mtaalam ila nimejaribu kushare kile ninacho kijua kuhusu watoto, ila utapata ushaur mzuri zaid, pia unaweza kumpaka vitunguu saumu kidogo sana kwenye paji la uso labda ni negative energy kama analia wakati wa usikuKwa motto mdogo kama huyo hapo kuna mengi dada yangu, ukiangalia rangi choo chake unaweza jua kama ni tumbo, kama anajinyoosha nyoosha ni tumbo linauma, apewe water syrup, kama ananyonya vya kutosha lakini bado analia sana ni njaa, mimi nakumbuka mwanagu siku ya 3 ilibidi tuchanganye unga na maji tukachuja tukamtengenezea uji tukampa vijiko 3 vya chai, akatulia, inasemekana ilikua njaa, ila kabla ya kumpa inabidi ujiridhishe ni njaa na si tatizo lingine
nahisi hii ndo inaashilia NANI KAMA MAMA, maana nahisi dady haweziWewe acha huwez amin ilikuwa nalia nae na mim
Ukikua utaacha tuMPE ugali