M mnyevushaji Member Joined Oct 4, 2011 Posts 24 Reaction score 1 Mar 13, 2013 #1 binti wa SEPETU naomba uwe wangu nikujengee heshima wadau naombeni msaada wa mawazo namna gani napata access ya haka kabinti,nko serious ndugu zangu
binti wa SEPETU naomba uwe wangu nikujengee heshima wadau naombeni msaada wa mawazo namna gani napata access ya haka kabinti,nko serious ndugu zangu
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Mar 13, 2013 #2 Mchek member anaitwa heaven on desert akupe namba.
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Mar 13, 2013 #3 Heshima ya kuonja kwa muda flani kama walivyojenga heshima wakina D au ya kuoa kwa nia ya kuonja halafu baada ya muda flani unamzulia jambo then unamtema?
Heshima ya kuonja kwa muda flani kama walivyojenga heshima wakina D au ya kuoa kwa nia ya kuonja halafu baada ya muda flani unamzulia jambo then unamtema?
K Kifarutz JF-Expert Member Joined Aug 7, 2012 Posts 1,736 Reaction score 360 Mar 13, 2013 #4 Njoo kinyumenyume kwangu ukiwa kama ulivyozaliwa nikusafishe nyota..!
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,856 Mar 13, 2013 #5 Mko kama nyie 1,111,111 na wote wako serious sijui atampa nani hilo penzi. Endelea kujipanga mpaka ifike zamu yako.
Mko kama nyie 1,111,111 na wote wako serious sijui atampa nani hilo penzi. Endelea kujipanga mpaka ifike zamu yako.