silence noise
Member
- Apr 23, 2017
- 54
- 29
- Thread starter
-
- #21
AhsantePole sana ndugu yangu Mungu yupo pamoja nawe hakuna kishindikanacho kwake
Nilifanyiwa maombi sna lakini sijapata nafuu yoyote. Asante kwa ushauri
CT scan mkuu! ndio ya kichwaniNenda kafanye MRI SCAN ya kichwa
Ahsante Evelyn, nimepima macho mara kadhaa tena mpaka hospitali ya macho mvumi. ntapima tena kujiridhisha.Nami pia nlikua na tatizo la kichwa nimeumwa sana tangu 2007, nikaenda muhimbili nikawa nahudhuria clinic napewa dawa nikimeza kinatulia zikiisha kinaanza upya, kuna siku nmeamka naumwa kichwa mpaka macho yanatoa machozi tu nikaenda hospital ya macho nikapewa miwani naona kimetulia sasa....
Nenda kapime na macho
Ningekuwa na afya njema labda ningebishana kitu hapa na wewe japo sipendi jambo hilo lakini lengo langu ni kupata msaada. Usijali nimekuelewa na nashukuru kwa mawazo.Mkuu;
Mbona umesema ulimaliza masomo kwa msaada wa Mungu? Mungu gani huyo akusaidie masomoni ashindwe kukuponya kaugonjwa ambako unaona JF kuna daktari wake??
Mkuu, Soma sana neno la Mungu, liamini, litendee kazi utashangaa yatakayo kutokea. Mk. 16 : 16 - 18. Ni wewe unaambiwa mkuu sio watu fulani sijui manabii au ma appostle. ni weye mwenyewe. Amini neno, litendee kazi kabla hujakata tamaa. Aliyekuwezesha kumaliza masomo yako atakumalizia na hilo tatizo lako.
Kacheki Mackay pia kuna doctor mzuri wa macho, kama upo DomAhsante Evelyn, nimepima macho mara kadhaa tena mpaka hospitali ya macho mvumi. ntapima tena kujiridhisha.
Nashukuru kwa ushauriNenda MOI watakupa ushauri baada ya x ray, harakia tafadhali
Asante kwa ushauriKacheki Mackay pia kuna doctor mzuri wa macho, kama upo Dom
Ahsante kwa ushauri, makohozi na kizunguzungu ni miongoni mwa changamoto zinazoendana na kuumwa kichwa, nimehisi tu kuwa labda kuna uhusiano.TMJ hospital [emoji541] inatoaga huduma ya CT scan. Nenda kajaribu.
Kumbe kizunguzungu kina uhusiano na kikohozi.
Tatizo lako nami pia linanisumbua ila sina maumivu.
Ningekuwa na afya njema labda ningebishana kitu hapa na wewe japo sipendi jambo hilo lakini lengo langu ni kupata msaada. Usijali nimekuelewa na nashukuru kwa mawazo.
vipi ulimpata hewani?Ahsante kwa mara nyingine mkuu. Ntamtafuta.
Naweka mambo fulani sawa ntamtafutavipi ulimpata hewani?
Nashukuru kwa nia yako njema. Nimeongea na jamaa lakini kwa sasa nahitaji kwenda hospitali kwanza.vipi ulimpata hewani?