Sajunne Senior Member Joined Jul 19, 2011 Posts 104 Reaction score 58 Apr 17, 2013 #1 Ninaomba msaada wa ngozi ya usoni kuna vipele mfano wa chunusi ndogondogo huwa vinaibuka na kupotea, Bt pale vinapo ibuka huwa vinawasha sana. msaada tafadhari.
Ninaomba msaada wa ngozi ya usoni kuna vipele mfano wa chunusi ndogondogo huwa vinaibuka na kupotea, Bt pale vinapo ibuka huwa vinawasha sana. msaada tafadhari.