Msaada haraka

Msaada haraka

Sajunne

Senior Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
104
Reaction score
58
Ninaomba msaada wa ngozi ya usoni kuna vipele mfano wa chunusi ndogondogo huwa vinaibuka na kupotea, Bt pale vinapo ibuka huwa vinawasha sana. msaada tafadhari.
 
nunua subun ya ubuyu mkuu, ina uzwa 2500 farmec..ckumbuki jina ila we sema sabun ya ubuyu..ni ya ukweli saaana..
 
Back
Top Bottom