Sajunne Senior Member Joined Jul 19, 2011 Posts 104 Reaction score 58 Apr 17, 2013 #1 Ninaomba msaada wa ngozi ya usoni kuna vipele mfano wa chunusi ndogondogo huwa vinaibuka na kupotea, Bt pale vinapo ibuka huwa vinawasha sana. msaada tafadhari.
Ninaomba msaada wa ngozi ya usoni kuna vipele mfano wa chunusi ndogondogo huwa vinaibuka na kupotea, Bt pale vinapo ibuka huwa vinawasha sana. msaada tafadhari.
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 Apr 17, 2013 #2 lazima itaishia kuchuna watu ngozi
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,411 Reaction score 4,777 Apr 17, 2013 #3 Nenda hospitali tafadhali
Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,557 Reaction score 1,787 Apr 17, 2013 #4 nunua subun ya ubuyu mkuu, ina uzwa 2500 farmec..ckumbuki jina ila we sema sabun ya ubuyu..ni ya ukweli saaana..
nunua subun ya ubuyu mkuu, ina uzwa 2500 farmec..ckumbuki jina ila we sema sabun ya ubuyu..ni ya ukweli saaana..
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Apr 17, 2013 #5 Bakulutu said: nunua subun ya ubuyu mkuu, ina uzwa 2500 farmec..ckumbuki jina ila we sema sabun ya ubuyu..ni ya ukweli saaana.. Click to expand... mkuu ni wapi inapatikana kwa dar?
Bakulutu said: nunua subun ya ubuyu mkuu, ina uzwa 2500 farmec..ckumbuki jina ila we sema sabun ya ubuyu..ni ya ukweli saaana.. Click to expand... mkuu ni wapi inapatikana kwa dar?