Nakushauri aende mara moja kwenda kumuona daktari wa meno na kukagua meno yake sanjari na kuyasafisha,inavyoonekana mdogo wako alikuwa hasafishi meno yake vizuri.
Baada ya hapo azingatie usafi wa kinywa ataondokana na shida ya harufu mbaya kinwani.
Usidanganyike kutumia dawa yeyote bila ushauri wa kitaalamu,atakuwa kibogoyo bure!!
Kila la heri.