Msaada: harufu ya kinywa na meno kuoza

masnai

Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
63
Reaction score
61
Habari wakuu,

Jamani naombeni msaada wenu, mdogo wangu ana tatizo la kinywa. Meno yake si meupe na anatoa harufu mbaya na mengine yameanza kuoza.

Je anaweza kutumia nini kutibu tatizo hili na kufanya meno meupe? Ana miaka 19.

Asanteni
 
Nakushauri aende mara moja kwenda kumuona daktari wa meno na kukagua meno yake sanjari na kuyasafisha,inavyoonekana mdogo wako alikuwa hasafishi meno yake vizuri.
Baada ya hapo azingatie usafi wa kinywa ataondokana na shida ya harufu mbaya kinwani.

Usidanganyike kutumia dawa yeyote bila ushauri wa kitaalamu,atakuwa kibogoyo bure!!

Kila la heri.
 
Kuna dawa iliyo tengenezwa kwa mimea na matunda ambayo huonda hilo tatizo kabisa.kama utahitaji nichek 0683109166
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…