JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 555
Ball jugler, yu wapi huyu mtaalamu?Umenikumbusha mbali sana hasa malota soma bobjugla
Ni Taxi driver pale Magomeni Mapipa Mkuu!!!Ball jugler, yu wapi huyu mtaalamu?
Ndio ni Kaka yake wengine ni Mhesa Kihwelo, Mhehe Kihwelo na Kihwelo mwingine alichezea Yanga. Wote ni waliwahi kucheza mpira tena Ligi Daraja la Kwanza au Ligi Kuu kwa sasa.Musa Kiwelu ana undugu na Jamuhuri Kiwelu?
Mwanamtwa Kihwelo a.k.a Dally Kimoko KirakaNdio ni Kaka yake wengine ni Mhesa Kihwelo, Mhehe Kihwelo na Kihwelo mwingine alichezea Yanga. Wote ni waliwahi kucheza mpira tena Ligi Daraja la Kwanza au Ligi Kuu kwa sasa.
Zuberi na Mogela walikuwa Watesi wazuri kwa mabeki wa timu pinzani.Namkumbuka Zuber Magoha tangu akicheza Jumuiya ya Arusha miaka ya nyuma kabla ajaenda Simba.Alikuwa ni mchezaji wa miraba minne,nguvu,kasi,mishuti mikali na chenga nyingi.
Sidhani kama alikuwa na a.k.a...alikuwa tu akitajwa kwa majina yake hayo, Sunday juma ndiye walikuwa wanamuita Pikipiki.Jina la utani la Zuberi Magoha lilikuwa lipi?
Musa yeye yu wapi kwa sasa?, maana namuona Jamuhuri ndiye anatamba kwenye media.Ndio ni Kaka yake wengine ni Mhesa Kihwelo, Mhehe Kihwelo na Kihwelo mwingine alichezea Yanga. Wote ni waliwahi kucheza mpira tena Ligi Daraja la Kwanza au Ligi Kuu kwa sasa.
Yule aliefariki kwa ajali Morogoro akiwa anaenda kambini ni nani,sio Musa au Mhesa?Musa yeye yu wapi kwa sasa?, maana namuona Jamuhuri ndiye anatamba kwenye media.
Alishatangulia mbele ya hakiMusa yeye yu wapi kwa sasa?, maana namuona Jamuhuri ndiye anatamba kwenye media.
Ooh, basi apumzike kwa amani ndugu yetu.Alishatangulia mbele ya haki
Sina taarifa ila kuna Mdau hapo anasema Musa alishatangulia mbele ya haki.Yule aliefariki kwa ajali Morogoro akiwa anaenda kambini ni nani,sio Musa au Mhesa?
Ni sawa kabisa,ni Musa.Sina taarifa ila kuna Mdau hapo anasema Musa alishatangulia mbele ya haki.
Sunday Juma alitokea timu mmoja ya Mkoa wa Kilimanjaro nadhani ni Kibo Shooting au Ushirka FC na alikua winga wa kulia akiwa na mbio sana na pale Msimbazi akipewa jina la utani la "kiberenge" kutokana na kasi yake kama mkimbiaji wa mbio fupi vile. Huyu sijui yupo wapi siku hiziKipindi nakuwa nilitokea kuwa mnazi kindakindaki wa timu ya Simba, ingawa kwa sasa sio kwa asilimia zile zile nilizokuwa nazo kipindi kile. Wakati ule nilitokea kuvutiwa na baadhi ya Majina ya Wachezaji kadhaa, hivyo basi ombi langu naomba yeyote mwenye taarifa walipo Jamaa hawa kwa sasa, na kama walishatangulia mbele ya haki basi Wapumzike kwa amani. Wachezaji hawa wafuatao:- Sunday Juma, Zuberi Magoha, Lila Shomari, Malota Soma, Ezekiel Grayson (Jujuman) huyu nilisikia baadae kwamba ndiye Baba wa Aunty Ezekiel, Kiwelu Musa, Moses Mkandawile, Ibrahim Marekano, Abdul Mashine, Daudi Salum (Bruce lee)...
Shukran za dhati Mdau kwa taarifa hii muhimu.Sunday Juma alitokea timu mmoja ya Mkoa wa Kilimanjaro nadhani ni Kibo Shooting au Ushirka FC na alikua winga wa kulia akiwa na mbio sana na pale Msimbazi akipewa jina la utani la "kiberenge" kutokana na kasi yake kama mkimbiaji wa mbio fupi vile. Huyu sijui yupo wapi siku hizi
Zuberi Magoha (center forward), Lila Somari (half back four), Ibrahimu Marekano(holding midfilder), Super Kiwelu Musa(full back wright), Moses Mkandawile(goalie), na Eekiel Grayson "Jujuman(attacking midfielder) walishatanguli mbele ya haki
Huyu Jujuman ambaye ndio Baba yake msanii wa Bongo Movie Aunt Ezekiel yeye alicheza mpira nyuma kidogo ya hao wengine. Alicheza na kina Jummanne Hassan "Masment', Mohamed Kajole "Machela", Daud Salum "Bruce Lee",Mohammed Bakari "Tall" Kipa Omar Mahadh Bin Jabir, Thuweni Ally na George Kulagwa, kuwataja wachache
Sunday Juma alikuja baada ya hapo na kizazi chake ni kina Mtemi Ramadhani, Idi Pazi (kabda hajaenda Sudan kucheza soka ya kulipwa) na miaka ya mwanzo ya Mogella Zamoyoni
Malota Soma(Ball Juggler) kama alivyosema mdau mmoja yupo maeneo ya Magomeni Usalama akiendesha taxi yake. Ama kina Abdul Mashine, na Daud Salum sina taarifa zao