Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 726
- 320
Naombeni msaada wanaJF ninamizigo yangu michache kutoka nje sasa itatumwa kwa sea shipping. Nitahitaji kufuata mambo yapi ya kimsingi na gharama kiasi gani zitahitajika?
Asante.
Radio Producer.
mkuu .tafuta clearing agent bana .... Sheria za sasa za port na tra lazma utumie agent ambapo kwanza lazima afanye application ya pcvr (provisional classification and valuation report) na baadae utapata cvr kutoka kwa tiscan/tra ..... Mimi sio agent lakini naagiza vitu nje na kufanya clearance kwa kutumia agent ...